GET /api/v0.1/hansard/entries/7647/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 7647,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7647/?format=api",
    "text_counter": 310,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Nimemsikia Waziri akisema kwamba labda Kiswahili cha mwenzangu “Sonko” si sanifu. Lugha ambayo ametumia ni Kiswahili sanifu ila tu ametumia misamiati. Ukiangalia katika Kamusi ya Kiswahili “sabinasabina” ni mtu ambaye ni mlegevu. Katika lugha ya Kiingereza, ni mtu “lazy”. Kiswahili ambacho amekitumia ni sanifu wala si Sheng."
}