GET /api/v0.1/hansard/entries/765129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 765129,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/765129/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kanini Kega",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1813,
        "legal_name": "James Mathenge Kanini Kega",
        "slug": "james-mathenge-kanini-kega"
    },
    "content": "Ninatoa risala zangu za rambirambi kwa familia na marafiki wa marehemu, na kwa watu wote wa Nyeri kwa sababu Waswahili wanasema akufaae wakati wa dhiki ndiye rafiki. Nimuomba Mwenyezi Mungu aifariji familia ya marehemu, na aiweke roho yake katika mahali pema peponi."
}