GET /api/v0.1/hansard/entries/765190/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 765190,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/765190/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwamkale",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2672,
"legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
"slug": "william-kamoti-mwamkale"
},
"content": "Ahsante, Mhe. Spika. Kwa niaba yangu na wakaazi wa eneo Bunge la Rabai, natoa rambirambi kwa familia na marafiki wa Mstahiki Gavana Gakuru. Tunatoa rambirambi pia kwa wakaazi wa Nyeri. Tunajua kwamba ni wakati mgumu kwa sababu ni miezi minane tu iliyopita mliachwa na Gavana mliokuwa mmechagua na sasa imetokea tena. Letu ni kufanya maombi pamoja nanyi. Msimame na mungu. Tuna imani kwamba mungu atawapatia nguvu wote ambao wamesumbuka."
}