GET /api/v0.1/hansard/entries/765191/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 765191,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/765191/?format=api",
"text_counter": 147,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwamkale",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2672,
"legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
"slug": "william-kamoti-mwamkale"
},
"content": "Pia nataka niungane na wenzangu kuwaambia wale wahusika wa mabarabara... Tumeambiwa hapa kwamba katika sehemu ya Makenzi, Salgaa, na hata kule Bonje katika Rabai, ajali zinatokea kila wakati. Ombi langu kwa shirika husika la Kenya National Highways Authority (KeNHA) ni kwamba wahakikishe kwamba hatungoji maisha yamalizike kila wakati mahali pale. Kama barabara ile haiko sawa, basi shirika hili la KeNHA lifanye kazi yake ili tusiwe tunashuhudia tu ajali. Ikisemekana mahali ni black spot shirika la Kenya National Highways Authority (KeNHA) linatakikana lituambie mikakati linalofanya ili maisha yasiendelee kupotea hapo."
}