GET /api/v0.1/hansard/entries/7652/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 7652,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7652/?format=api",
"text_counter": 315,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Bett",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 157,
"legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
"slug": "franklin-bett"
},
"content": "Tunatoa kandarasi kutokana na matangazo kuwa tuko na kazi fulani. Hii inafanyika kwa kutumia taratibu za kutosha ambazo zimewekwa. Hatuwezi kupeana kandarasi kwa njia ya ulegevu au kwa kuonea wengine. Jambo hilo haliwezekani kufuatana na sheria iliyoko katika Wizara yangu. Hatuwezi kuenda kinyume cha sheria tulizoziweka."
}