GET /api/v0.1/hansard/entries/7653/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 7653,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7653/?format=api",
"text_counter": 316,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamalwa",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 148,
"legal_name": "Eugene Ludovic Wamalwa",
"slug": "eugene-wamalwa"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, Kaunti ya Trans Nzoia ni ghala la Kenya; ni Kaunti ambayo inalisha taifa hili na wakulima wanahitaji barabara nzuri ili wafikishe mazao yao sokoni. Ninashukuru kwa sababu barabara ya Ziwa hadi Sibanga hadi Kitale itatengenezwa. Je, kando na hii barabara ambayo ilikuweko hapo mbeleni, Serikali ina mpango gani wa kuweka lami barabara mpya katika Kaunti hii ya Trans Nzoia? Kuna barabara yoyote kama vile barabara ya Shikhendu, Babaton hadi kule Kisawai na Endebess?"
}