GET /api/v0.1/hansard/entries/7654/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 7654,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/7654/?format=api",
    "text_counter": 317,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Bett",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 157,
        "legal_name": "Franklin Kipng'etich Bett",
        "slug": "franklin-bett"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa Bajeti hii ya Serikali, hatujatenga fedha za kugharamia barabara ambayo mheshimiwa amesema. Lakini tunaitengeneza barabara kutoka Kisumu, Kakamega, Webuye hadi Kitale. Tunaichora upya barabara kutoka Kitale kuelekea Makutano mpaka Lokichogio kama vile mhe. Ethuro alivyosema. Mambo hayo yanaendelea kupangwa lakini wakati huu, hatujatenga fedha za kugharamia barabara ambayo mhe. Wamalwa ameuliza."
}