GET /api/v0.1/hansard/entries/766977/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 766977,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/766977/?format=api",
    "text_counter": 1582,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Rehema Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13275,
        "legal_name": "Rehema Hassan",
        "slug": "rehema-hassan"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono hii Hoja kuhusu uchimbaji wa madini. Hili suala limenigusa kwa sababu sisi kule Tana River tuko na gypsum ambayo inatumika kutengeneza simiti. Wale wahusika ambao wanatengeneza simiti wametajirika kuliko sisi wenyeji. Kuongeza msumari moto kwenye kidonda hao watu wakishachimba yale mawe hawazibi yale mashimo, wanayaacha wazi na kwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}