GET /api/v0.1/hansard/entries/767067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 767067,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/767067/?format=api",
"text_counter": 57,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ahsante, Bw. Spika. Nchi yetu ni nchi ambayo inafuata sheria. Katika sheria za Kenya, imebainika wazi kabisa kwamba kila Mkenya ako na haki ya kusikizwa. Jambo ama ombi kama hili ambalo limetoka kwa Mkenya yeyote popote alipo, anayomatumaini ambayo ameyaweka ndani ya Nyumba ya Seneti. Ombi lake ni kwamba, apewe nafasi asikizwe. Sheria ya Kenya inasema ya kwamba, hakuna Mkenya ambaye hatapewa nafasi ya kusikizwa kabla uamuzi kufanywa. Sisi hapa tunajadiliana jambo hili lakini ni muhimu kumpa huyu Mkenya nafasi kupitia kwa Kamati husika kulingana na sheria za The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}