GET /api/v0.1/hansard/entries/767581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 767581,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/767581/?format=api",
    "text_counter": 34,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ramadhani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2388,
        "legal_name": "Suleiman Dori Ramadhani",
        "slug": "suleiman-dori-ramadhani"
    },
    "content": "Asante sana Mheshimiwa Spika. Nimesimama kuhusu orodha kamili ya majina yaliyotolewa, ambayo yanawakilisha mrengo wa NASA kwenye uongozi wa Bunge hili. Msimamo wangu ni kwamba ninaupinga moja kwa moja. Kwanza, suala la jinsia halikuzingatiwa kabisa. Pili, hii imeashiria wazi kwamba uongozi wa chama umeelekezwa Nyanza pekee na sehemu nyingine zote zimeachwa nje."
}