GET /api/v0.1/hansard/entries/767583/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 767583,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/767583/?format=api",
"text_counter": 36,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ramadhani",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2388,
"legal_name": "Suleiman Dori Ramadhani",
"slug": "suleiman-dori-ramadhani"
},
"content": "Hali hii inatuonyesha wazi kwamba uongozi wa muungana wa NASA unapopangwa ni lazima wanachama waitwe kwenye kikao. Ni wazi kwamba taratibu inayotakikana ifuatwe wakati kunapangwa uongonzi haikufuatwa. Nilazima wanachama waitwe kuhudhuria kikao, kwa lugha ya kimombo cha Parliamentary Group (PG). Na hii haikufanyika. Kwa hivyo, mimi kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}