GET /api/v0.1/hansard/entries/767584/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 767584,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/767584/?format=api",
    "text_counter": 37,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ramadhani",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2388,
        "legal_name": "Suleiman Dori Ramadhani",
        "slug": "suleiman-dori-ramadhani"
    },
    "content": "mwenyekiti wa wabunge wa Pwani hili swala tunalipinga kwa sababu sisi kama Wapwani tumechangia sana mlengo wa NASA. Mhe Spika, hii ni wazi kwamba sisi kama Wapwani na watu wa sehemu zingine hatutambuliwi katika hii chama. Tunasema wazi kwamba kama Wapwani tunayapinga haya majina kikamilifu na tutasimama kuyapinga na hatuyatambui tuta resist kama vile wao wana resist . Asante sana."
}