GET /api/v0.1/hansard/entries/768041/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 768041,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/768041/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii nichangie hii Hoja. Kabla sijachangia, nataka kutoa shukrani kwa Rais wetu kwa kuapishwa jana. Alifurahisha dunia yote kwa kuapishwa kwake. Hata sisi tumefurahi sana. Pia, natoa shukrani kwa Wakenya wote bila kujali vyama vya kisiasa. Wakenya wote walishuhudia kuapishwa kwa Rais wetu bila kujali kabila ama chama cha kisiasa. Wakenya wote walikuwa huko. Tunashukuru sana. Hiyo ni kujenga nchi yetu bila kufuata mambo ya siasa."
}