GET /api/v0.1/hansard/entries/76861/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 76861,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/76861/?format=api",
    "text_counter": 67,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Bw. Spika, namshukuru sana Waziri kwa jibu lake. Nina haki Waziri atakubaliana na mimi nikisema kuwa ukosefu wa kazi ndio changio kubwa la umasikini hapa nchini. Leo, kuna watu watakaolala njaa kwa sababu hawana kazi."
}