GET /api/v0.1/hansard/entries/770978/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 770978,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/770978/?format=api",
    "text_counter": 214,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nassir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Ningetaka kuwakumbusha wenzetu ya kuwa tunaanza kuzungumza kuwa Kenya ni yetu sote. Mambo ni namna hii. Lazima wengine kutoka Pwani wazungumze. Nataka kuwakumbukusha wenzangu hivyo hususan wale kutoka sehemu za mimea ya sukari. Wanasema kule kwetu hakuna sukari lakini iko katika Ramisi."
}