GET /api/v0.1/hansard/entries/770979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 770979,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/770979/?format=api",
    "text_counter": 215,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nassir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Pili, nataka kutoa mfano wa mtu anayetumia kapu lililotengenezwa na miyaa, kuti ama pakacha na kila siku kwenda katika kisima na kujaribu kuchota maji, hayataweza kuchoteka na mwisho, wale wenye kuhitaji yale maji wataja kujigundua. Ndipo tunaingia sisi kama Wapwani. Kila mwaka, sekta hizi zinazidi kupatiwa fedha. Wakulima wanaambiwa hawawezi kupatiwa amana hizi. Katika sekta hii, deni zote zinakaribia takriban Kshs 12-15 billion. Deni ya viwanda vyote vya umma ni Ksh 12 – 15 billion. Ikiwa tutahitaji hivi viwanda vijiendeleze tena, basi itabidi mifuko ya Wakenya itapike tena Ksh 12-15 billion. Nataka kutofautiana na wenzangu. Suluhisho ni kupatia viwanda hivi watu ambao wako na uwezo wa kuendesha kazi hii. Serikali haiwezi kufanya kila kitu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}