GET /api/v0.1/hansard/entries/771268/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 771268,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/771268/?format=api",
    "text_counter": 274,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Makokha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2286,
        "legal_name": "Geoffrey Makokha Odanga",
        "slug": "geoffrey-makokha-odanga"
    },
    "content": "Ni wakati ambapo lazima Serikali ama wanaohusika waamke kwa usingizi kwa kazi yao. Wanafaa wafanye kazi vile ambavyo inahitajika. Shirika la NTSA ni lazima lifanye kazi vile ambavyo inahitajika. Nilisikitika kusikia kwa runinga ikitangazwa yakwamba ajali iliyotokea ni kwa sababu maafisa wa NTSA walikuwa wakifuata hilo gari. Ni lazima yule aliyehusika awekwe korokoroni mara moja."
}