GET /api/v0.1/hansard/entries/772935/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 772935,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/772935/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa ya kuchangia Mswada huu. Ukweli wa mambo ni kwamba, neno harambee inajulikana vizuri. Maana yake ni tuvute pamoja. Kwa hivyo, hatuna haja ya kupoteza wakati kuhusu maana yake. Hata ukimuuliza mwanafunzi wa Kidato cha Pili, ana jua harambee inamaanisha tuvute pamoja. Sisi katika kikao hiki tuketi kuzungumza juu ya neno harambee tutakuwa tunapoteza wakati wetu. Hata tukitenga pesa zozote ili tujue chanzo cha neno harambee, kwangu mimi naona ni kupoteza muda. Na itakuwa ni kosa au dhambi na laana kwa Wakenya wa nchi hii kuona tunajihusisha na mambo ambayo tuna jawabu kutokana na historia yetu. Kwa hayo machache, ninapinga."
}