GET /api/v0.1/hansard/entries/773411/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 773411,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/773411/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bwana Spika, ningetaka kusema mambo yaliyo mbele yetu ni ya kuzungumzia mikakati ambayo tunahitaji kupitisha. Naona wapinzani wetu wanataka kuleta ile siasa ya mazishi. Hatuko kwa mazishi hapa. Tuko kwa Standing Orders ambapo tunafuata utaratibu wa Bunge hili. Kwa hivyo, tuwache siasa ya nje; tufuate mikakati ambayo imewekwa katika Bunge. Hiyo ndio nataka waelewe –tuko hapa kwa mikakati ile imewekwa na Bunge. Hapa sio mambo ya mazishi ili tulete siasa hapa kwa wakati huu. Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}