GET /api/v0.1/hansard/entries/774674/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 774674,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/774674/?format=api",
"text_counter": 233,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Obo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa pia kuunga mkono Hoja hii. Kuwa na mazingira masafi ni muhimu sana. Wenzangu waliozungumza mbele yangu wameongea kuhusu ajenda nne za Serikali Kuu. Sisi tunajua kuna Rais mtawala kulingana na Katiba. Hao wengine hatuwajui. Hizo ajenda zake nne alizosema haziwezi kutimizwa ikiwa kuna mabadiliko ya tabianchi. Pia, kuna umuhimu wa Serikali Kuu na kaunti kutenga fedha ambazo zitasaidia kuzuia haya mabadiliko ya tabianchi."
}