GET /api/v0.1/hansard/entries/776058/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 776058,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776058/?format=api",
    "text_counter": 317,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bady Bady Twalib",
    "speaker_title": "The Member for Jomvu",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "na yeye katika kijiji kimoja ambacho alikuwa akizungumzia kuhusu amani na watu kukaa pamoja. Leo ameleta Hoja hii. Ni muhimu sisi Wabunge tumuunge mkono na hata tushikane pamoja. Kama kwake kuna matatizo tuende tusaidiane kama ndugu ili nchi ya Kenya iwe moja kwa watu kupendana."
}