GET /api/v0.1/hansard/entries/776664/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 776664,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776664/?format=api",
"text_counter": 287,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ali Sharif",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Hii itasaidia kuokoa pesa ambazo Serikali inatumia kwa namna hiyo. Vile vile, itasaidia kwamba mwanakandarasi yeyote atakayepewa kazi ataifanya kulingana na vile vigezo vinayotakikana. Vile vile, katika suala hili la barabara, utapata kwamba mwanakandarasi mmoja anapewa kilomita 100. Thamani ya pesa ni Ksh10 bilioni had Ksh20 bilioni. Mwanakandarasi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}