GET /api/v0.1/hansard/entries/776666/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 776666,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776666/?format=api",
    "text_counter": 289,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Ali Sharif",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ikiwa mwanakandarasi yule atapewa kilomita 100 kuzijenga kwa miaka mitano, kazi hiyo ikigawanyiwa wanakandarasi watano, wataikamilisha kwa muda wa mwaka mmoja. Mikakati kama hiyo ndiyo itaifanya Serikali kuokoa pesa ambazo zitaiwezesha kufanya mambo mengine badala ya kutumia pesa kwa njia moja peke yake kwa njia ambazo sivyo."
}