GET /api/v0.1/hansard/entries/776670/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 776670,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776670/?format=api",
    "text_counter": 293,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bady",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Mswada huu unaonyesha idara mbalimbali ambazo zinahusika na barabara katika vitengo mbalimbali. Wameweza kutenganisha barabara ambazo ni za KeNHA, KURA na vile vile zile za KeRRA ambazo zinaingia mashinani. Hilo ni wazo zuri kwa sababu mara nyingi sisi tunasumbuliwa sana huko mashinani tukiulizwa barabara fulani ziko kwenye kitengo gani. Lakini watu hawajui jinsi barabara humu nchini zimeainishwa. Wao hufikiri barabara zote ziko The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}