GET /api/v0.1/hansard/entries/776674/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 776674,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776674/?format=api",
    "text_counter": 297,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bady",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": ".” Niliona jambo hili haliingii kwenye akili na nikarudi kwa wananchi wangu na kuwaambia, “Liwe liwalo. Hatuwezi kutengeneza barabara tukavunja makao ya watu.” Tungeondoa nyumba, barabara ambayo tungetengeneza ingetumiwa na nani? Mswada huu ambao umesukwa na mwenyekiti Mhe. Pkosing, unatambua kwamba sharti malipo yapeanwe kwa watu ambao ardhi na mali yao itaathiriwa na ujenzi wa barabara."
}