GET /api/v0.1/hansard/entries/776937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 776937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776937/?format=api",
    "text_counter": 220,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "wanazopata ndizo hizo tunazopata kama vile watu kutaka kuandikwa kazi. Wakati watakapokuwa wakiandika watu kazi, hata sisi pia watupe nafasi hata kama ni mbilimbili au tatutatu. Tutashukuru kwa chochote kile tutakachopata. Asante Bw. Spika."
}