GET /api/v0.1/hansard/entries/776952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 776952,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776952/?format=api",
    "text_counter": 235,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwanza, ningependa kuchukua fursa hii kuwapa kongole Sen.Mugo, Sen. Sen. Khaniri na Sen. Cheruiyot kwa kufaulu kuchaguliwa kama makamishna. Vile vile, nawapa pongezi Waheshimiwa Shabaan, Keynan, Momanyi na Aisha Jumwa kwa kuteuliwa kwao. Nimefurahi kwamba Tume hii ni mchanganyiko wa vijana na wazee. Tuna wale ambao walikuwa Mawaziri kama vile Mhe.Shabaan na Sen. Mugo. Mhe.Keynan ni"
}