GET /api/v0.1/hansard/entries/776956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 776956,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/776956/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa kumalizia, ningependa kuwatakia waheshimiwa wote waliochaguliwa katika nyadhifa hizi kila la heri. Nawaomba wachukue fursa hii kututumikia kwa muda huu wa miaka mitano ili Maseneta wapate huduma za kisawasawa zinazostahili hadhi yao. Asante sana mheshimiwa Spika."
}