GET /api/v0.1/hansard/entries/777395/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 777395,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/777395/?format=api",
    "text_counter": 78,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. King’ara",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13468,
        "legal_name": "Simon Nganga Kingara",
        "slug": "simon-nganga-kingara-2"
    },
    "content": "vikuu mbalimbali kama alivyoieleza kamati yetu ya Bunge. Vile vile, ombi langu ni sisi Wabunge kutoka upande wa Serikali na upande wa Upinzani tumuunge mkono na tumsaidie wakati ako mashinani akifanya utafiti. Akija eneo lolote lile, tumsaidie ili aweze kuleta utafiti ulio na mwelekeo mwema. Ninajua kwamba Kenya itakomaa katika sekta ya kilimo na maendeleo. Kwa hayo machache, naunga mkono Hoja hii."
}