GET /api/v0.1/hansard/entries/777411/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 777411,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/777411/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu wa Spika. Mimi pia naunga mkono haya mambo ya kilimo. Tunaelewa vizuri sana kwamba Kilimo ndicho muhimu zaidi kwa wananchi wa Kenya. Ikiwa hatutatenga pesa za kutosha kwa idara ya kilimo, itakuwa ngumu kwa Wakenya kuendelea kupata mavuno yao."
}