GET /api/v0.1/hansard/entries/777413/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 777413,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/777413/?format=api",
"text_counter": 96,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Kuna hadithi moja ambayo hatuwezi kukubali. Kuna wakati tunatenga pesa nyingi sana ya nyasi na ya kununua chakula cha ng’ombe lakini hatuelewi zina kwenda wapi. Kwa hivyo, tunataka tutenge pesa nyingi ili zisaidie mifugo."
}