GET /api/v0.1/hansard/entries/778543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 778543,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/778543/?format=api",
"text_counter": 271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii. Nimechunguza kwa wenzangu wote ambao wamechangia na nimeona suluhu kwa kweli iko tu na Wabunge hapa hapa. Kwanza, tumetambua kwamba usalama ndio tatizo. Ndio maana Mbunge ambaye amenitangulia amesema kuwa yafaa kuwa na walimu wanajeshi. Mimi naongea kama mwalimu. Nikimnukuu yule Muingereza anayeitwa Maslow alisema kwamba kwanza mahitaji yale madogo madogo lazima yawe sawa ndio mahitaji makubwa makubwa yaje baadaye. Ukimweka mwalimu katika hali ambapo hamna usalama hapo kuna tombojoto."
}