GET /api/v0.1/hansard/entries/778545/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 778545,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/778545/?format=api",
"text_counter": 273,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadime",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2451,
"legal_name": "Andrew Mwadime",
"slug": "andrew-mwadime"
},
"content": "Kwa hivyo, watu wasilichukulie suala hili kwa mzaha. Waliangalie kwa kina na suluhu ipatikane kwa haraka maana wale watoto wakikosa elimu risasi zitazidi upande ule na wale nao wakiwa kule hamna elimu inaendelea maana hawajatulia. Usalama wao upo hatarini. Unajua ukishajisikia usalama hauko sawasawa basi utakuta tumbo lako kila wakati linawaka moto na hamna kazi unaweza kufanya. Tuyaangalie na kuyapina yote hayo na tujaribu kutatua suala hili kisawasawa. Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa fursa hii."
}