GET /api/v0.1/hansard/entries/779088/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 779088,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/779088/?format=api",
"text_counter": 444,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "zinazotakikana kuanzishwa katika kaunti zote, zianzishwe kwa haraka. Hii ni kwa sababu wananchi ndio wanaojua usalama wao unatakikana usimamiwe vipi. Pili, ni kuisihi Serikali kwamba watu thelathini kufa bila maelezo ni jambo kubwa sana. Hii inamaanisha kwamba waziri husika, Bw. Matiangi na Kamishna Jenerali wa Polisi wangeenda nyumbani. Juzi tulimuona Waziri wa Afya akimsimamisha kazi Afisa Mkuu wa Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta kwa sababu mgonjwa allipasuliwa kichwa kimakosa. Hadi hii leo, watu 30 wamekufa kiholela; je, huyu Kamishna Jenerali wa Polisi na askari wake wachukuliwe hatua gani? Asante, Bi Spika wa Muda."
}