GET /api/v0.1/hansard/entries/779635/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 779635,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/779635/?format=api",
    "text_counter": 83,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, wenzangu wananikosoa lakini nikisema ‘vijana’ namaanisha wasichana na wavulana. Wote wanaitwa ‘vijana.’ Hawaelewi lugha. Baada ya hawa vijana kutoka sekondari wanabobea katika fani ambazo wanaingia kuzifanya. Kwanza ni furaha kwa sababu wamekuja siku ambayo ni manufaa sana. Leo ni siku ya akina mama na ningeomba waendelee na msimamo huo huo. Wakiendelea hivo najua Kenya yetu itafika katika kiwango ambacho tungetaka wanadada wetu wafike. Asante sana, Bw. Spika."
}