GET /api/v0.1/hansard/entries/780614/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780614,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780614/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mohamend Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Leo napendekeza na kusema kwamba kila kaunti ipewe hospitali yake ya rufaa ili mwananchi wa kawaida aweze kufikiwa. Si kusema tu zijengwe bali pia nasema zile zilizopo hapo zinaweza boreshwa zaidi na kuwekwa katika kiwango cha Level 6 ambayo itaweza hudumia mwananchi wa kawaida aliye na matatizo chungu nzima. Hospitali ambazo ningelipenda zianze kufanyiwa ukarabarati wa hali ya juu na kuanza kufikia wananchi kufika ile kiwango ya Level 6 ni Meru, Embu, Mombasa, Kakamega, Busia, Jaramogi, Garissa na Kisii ambazo ni Level 5."
}