GET /api/v0.1/hansard/entries/780620/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780620,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780620/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mohamend Ali",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "kwa lugha ya kimombo, ni 6,000 peke yake. Hivi sasa tunapozungumza, kuna wale ambao ni watahiniwa, tunawaita interns kwa lugha ya kimombo, ni 1,000. Wakimaliza kusoma, hawana mahala pa kuenda. Watajiunga na wenzao 1200 ambao hawana kazi na wako nje. Kwa ufupi, nasema taifa hili linahitaji madaktari 34,445."
}