GET /api/v0.1/hansard/entries/780625/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780625,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780625/?format=api",
"text_counter": 49,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mohamend Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "lakini tumeamua kuweka makaratasi yetu kwenye mifuko na kushabikia ukiritimba. Hili leo nalipite ili tuweze kupata hospitali katika kila kaunti Kenya nzima. Bado nitaendelea kulilia hili suala kwa sababu linahusu mwananchi wa kawaida. Nitazungumzia hospitali na vile vile madaktari wenyewe. Katika Kenya ya sasa, madaktari ambao tunawategemea wanalipwa mishahara ambayo haiingii akilini. Nitaanza na ile wanaita"
}