GET /api/v0.1/hansard/entries/780630/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780630,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780630/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mohamend Ali",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13455,
        "legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
        "slug": "mohamed-ali-mohamed"
    },
    "content": "Jameni, hili si jambo la kuchekea wala kushabikia. Watu wanakufa. Leo maradhi madogo madogo yanatusumbua. Nimekupa mfano wakati nilipoanza mjadala wangu. Naona muda unanipa kisogo. Ningelipenda kusoma na kuelezea mengi zaidi lakini kwa hayo machache naomba ya kwamba haya yamewaingia Wabunge. Naomba kuwasilisha Hoja hii na atakaye afiki, yani Seconder, ni Mheshimiwa Kanini Kega."
}