GET /api/v0.1/hansard/entries/780642/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780642,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780642/?format=api",
    "text_counter": 66,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kanini Kega",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1813,
        "legal_name": "James Mathenge Kanini Kega",
        "slug": "james-mathenge-kanini-kega"
    },
    "content": "Hili si jambo la mzaha. Ni jambo tunapasa kuangazia sisi sote pamoja na magavana. Naomba ya kwamba Hoja kama hii iwasilishwe katika gatuzi zote za taifa hili. Ni jukumu la serikali yoyote kuhakikisha kwamba wananchi wake wote wako na afya njema. Uzima wa kimwili ni jukumu la ugatuzi. Tukiwa na hospitali ya kiwango cha 6 katika kila gatuzi... Hospitali ya Rufaaa Kenyatta imekuwa na changamoto juzi. Wakati mwingine huwezi kulaumu madaktari kwa sababu kila siku wanafanya oparesheni nyingi kwa sababu wagojwa ni wengi na hatuna hospitali za kutosha. Tukiwa na hospitali za kiwango cha 6 kule Homa Bay, Nyeri ama Mombasa ama kwa gatuzi zote 47 nchini, tutakuwa tumewashughulikia wananchi."
}