GET /api/v0.1/hansard/entries/780658/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780658,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780658/?format=api",
"text_counter": 82,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wakhungu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1889,
"legal_name": "Chrisantus Wamalwa Wakhungu",
"slug": "chrisantus-wamalwa-wakhungu"
},
"content": "Wajua kwamba Kiswahili ni lugha ya taifa. Mimi naomba tutenge angalau siku moja ili Wabunge waongee Kiswahili. Hii ni kwa sababu wakati tunaongea Kiingereza hapa, yule nyanyangu aliye nyumbani haelewi tunachosema. Kulingana na Katiba mpya, mambo ya Bunge lazima yajadiliwe hadharani ili mwananchi wa kawaida afuatilie na apeane mawaidha yake. Nikimalizia, yafaa tutenge pesa katika Bajeti kwa sababu mara kwa mara Hoja nzuri kama hii zinaletwa hapa, tunazipitisha lakini hakuna mtu wa kuzifuatilia ili zitekelezwe. Sisi tukiwa Wabunge hatuwezi kupitisha Hoja na hiyo Hoja isitiliwe maanani.Ndiposa nimeangalia humu ndani nikamwona mwenyekiti wa kamati ya utekelezaji. Katika Kiswahili ni “implementshoni”"
}