GET /api/v0.1/hansard/entries/780664/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780664,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780664/?format=api",
"text_counter": 88,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wakhungu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1889,
"legal_name": "Chrisantus Wamalwa Wakhungu",
"slug": "chrisantus-wamalwa-wakhungu"
},
"content": "Amesema anataka anione nikijetetea kidogo kidogo. Nikiweza ataongea, na akiona kinanilemea basi ataondoka. Ninajua watu wangu wa Kiminini wanafurahi kwa sababu wanasikia na wanaelewa Kiswahili. Wale wako nyumbani vile vile wanafurahi wakisikia tunaongea kiswahili. Watu wengi nchini wanaelewa Kiswahili. Tunaiomba ile Kamati yetu ya Bajeti kwamba ikileta Bajeti ya Ziada hapa, lazima tutenge pesa ili zitumike katika ujenzi wa hospitali ya rufaa. Hatutaki tupitishe Hoja hii na ikose kutekelezwa.Nilikuwa na mengi ya kusema lakini wacha nikomee hapo ili wengine vile vile waongee. Ninashukuru Mhe. Mohamed Ali kwa kuleta hii Hoja. Ninaunga mkono. Ahsanteni sana."
}