GET /api/v0.1/hansard/entries/780691/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780691,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780691/?format=api",
"text_counter": 115,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Korere",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13134,
"legal_name": "Sara Paulata Korere",
"slug": "sara-paulata-korere"
},
"content": "Kwa hivyo, itakuwa ni aibu kubwa sana kama kuna mashine ya kutibu wagonjwa na ambayo imehifadhiwa katika chumba mahali, pasipo kutumika… Kwa hivyo, ninapotia tamati ninaunga mkono Hoja hii. Shukrani na pongezi tena kwa aliyewasilisha Hoja hii ambayo tungepitisha jana na wala sio leo. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}