GET /api/v0.1/hansard/entries/780695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780695,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780695/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Maanzo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2197,
"legal_name": "Daniel Kitonga Maanzo",
"slug": "daniel-kitonga-maanzo"
},
"content": "Lazima Serikali Kuu ifanye kazi na Mombasa Kaunti kuhakikisha kwamba hospitali hii inaanzishwa mara moja. Wafadhili wote na nchi zingine zote ambazo tunasaidiana nazo kuhusu afya na hata Shirika la Afya duniani, watusaidie ili mradi huu wa hii hospitali uanzishwe. Cha muhimu pia nikuangazia mambo ya maji safi. Maanake, tukiwa na maji ya kutosha magonjwa hupunguka kwa nusu. Dr. Sankok ako hapa na ni Mbunge ambaye anaelewa mambo ya afya. Ninatumaini kwamba hivi karibuni atachangia mambo haya kama mtaalamu anaelewa mambo ya afya zaidi kuliko mimi kama wakili. Lakini, bado naangazia haya mambo ijapokuwa siyafahamu sana kama Mhe. Sankok. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}