GET /api/v0.1/hansard/entries/780696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780696,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780696/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Maanzo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2197,
"legal_name": "Daniel Kitonga Maanzo",
"slug": "daniel-kitonga-maanzo"
},
"content": "Ni lazima, tuhakikishe kwamba wajuzi wa afya wanasaidia ili hospitali hiyo ya Mombasa iwe ya kwanza na zingine zifuate. Pia zile hospitali tuko nazo huko Embu na Nyeri zipandishwe na kufika kiwango cha Level 6, ndiyo watu wengi hapa Kenya wapate afya bora. Ni kweli, tunatumia fedha nyingi kwenda nchi za ng’ambo tukifuata matibabu. Tunawapelekea pesa zetu wataalamu wengine, ilhali, hapa Kenya tuna madaktari hodari sana ambao wameenda shule na kusomea mambo ya afya. Lakini, mpangilio wa kuwa na afya bora ndio umekuwa shida."
}