GET /api/v0.1/hansard/entries/780697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780697,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780697/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Maanzo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2197,
        "legal_name": "Daniel Kitonga Maanzo",
        "slug": "daniel-kitonga-maanzo"
    },
    "content": "Pia, tuna madaktari hapa Bungeni lakini kiongozi wa Kamati ya Afya si daktari na Katibu wa Wizara ya Afya pia si daktari. Vile vile, hata Waziri wa Afya si daktari. Ingefaa, tuwe na madaktari katika huo mpangilio na kama ingewezekana Waziri wa Afya awe daktari ambaye anaelewa mambo ya matibabu. Lakini, kama ni mtaalamu mwingine ambaye haelewi ni nini huendelea katika hospitali, itamchukuwa muda na atachelewa kuelewa na wagonjwa wengi watapoteza maisha yao. Ni lazima, tuhakikishe kwamba Wakenya wanatunzwa na tuna mpangilio mwema wa afya."
}