GET /api/v0.1/hansard/entries/780698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 780698,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780698/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Maanzo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2197,
        "legal_name": "Daniel Kitonga Maanzo",
        "slug": "daniel-kitonga-maanzo"
    },
    "content": "Tunaona Upinzani umesema kwamba tuwe na umoja na tusaidiane ili Wakenya wote wapate Huduma zinazofaa. Kwa hivyo, nauunga Hoja hii mkono. Gavana wa Kakamega anajenga hospitali kubwa sana akitumia pesa za ugatuzi pamoja na zile za wafadhili. Ameonyesha bidii na magavana wengine wanafaa kumuiga. Vile vile, Gavana wangu Kivutha Kibwana anasonga mbele. Tunaona magavana wanafanya bidii na waungwe mikono ndiyo hospitali 47 ziweze kujengwa haraka iwezekanavyo."
}