GET /api/v0.1/hansard/entries/780701/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780701,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780701/?format=api",
"text_counter": 125,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ili nami nichangie. Kwanza, naunga mkono Hoja hii kwa shauri ni muhimu sana. Vile vile, nataka kumpongeza jirani na ndugu yangu Mohamed Ali ambaye in Mbunge wa Nyali kule Mombasa. Tumetoka kaunti moja na ameleta Hoja hii ambayo inapendekeza kuwa na hospitali ya rufaa katika mji wa Mombasa. Vile vile, sisi kama wanasheria katika kifungu cha 25 cha Sheria ya Afya, tumepewa nguvu ya kupendekeza kwamba katika kila gatuzi tuwe na hospitali ya rufaa ya kiwango cha sita."
}