GET /api/v0.1/hansard/entries/780707/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780707,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780707/?format=api",
"text_counter": 131,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, kwa vile madaktari wetu ni wachache, ninapendekeza wale ambao wanafanya kazi kwa kandarasi waajiriwe. Pia, ninapendekeza wahudumu wa kijamii katika sekta ya afya, yani community health workers, ambao wanafanya kazi katika hospitali zetu lakini hawajaajiriwa rasmi, waajiriwe ili waweze kuendelea kuwapa wananchi huduma."
}