GET /api/v0.1/hansard/entries/780710/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 780710,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/780710/?format=api",
"text_counter": 134,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Ms.) Tuya): Sawa kabisa. Waheshimiwa, ningependa kuchukua fursa hii kuwatambua wanafunzi wa Kilabu cha Mijadala kutoka Chuo Kikuu cha Kirinyaga ambao wako kwenye ushoroba wa nyumba. Wanatoka Eneo Bunge la Kirinyaga ya Kati katika jimbo la Kirinyaga. Tuwakaribishe."
}